Habari za Punde

Dk Shein mgeni rasmi mahafali ya 9 ya Chuo Kikuu cha Taifa ( SUZA)

TA1A5007Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma Shamuhuna,wakati alipowasili Chuo Kikuu cha Taifa,kampasi ya Tunguu,katika sherehe za mahfali ya 9 ya chuo hicho,ambayo wahitimu wa fani mbali mbali wamepatiwa Shahada,Stashahada na VyetiTA1A5018
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,akisalimiana na walimu wa Chuo Kikuu cha SUZA,alipowasili katika mahafali ya 9 yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati
Unguja, jana.]
TA1A5045Baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali  wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,wakiwa katikaa maandamano wakati wa sherehe za mahafali ya 9 chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja jana
 TA1A5074
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(wa pili kulia) akiongoza maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja
 jana, yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu
TA1A5135
Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi ya kompyuta,ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,wakisimama walipotunukiwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu janaTA1A5209
Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi na Elimu,ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,baada ya kutunukiwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika
mahafali ya 9 iliyofanyika kampasi ya Tunguu jana
TA1A5219 Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya
habari,waliotunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu jana, (kutoka kushoto) Stewat Njelekela, Seif Mohamed Nassor na Husna Shaabani Bwamadi.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

1 comment:

  1. Hongereni wanakwetu. I am proud of you all.

    Haji R. HAJI. USA

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.