Habari za Punde

Gari ya Enzi Zile ya Austin of England hiyo Zenj hadi leo.

Mdau unakumbuka enzi zile Zenj ikiwa na agari yanayohesabika kabila zake na wachache wanaomiliki gari kama aina hii na aina nyegine. Enzi hizo gari zilizokuwa zikitamba Zenj gari za Cosea Cortina Austin, na nyenginezo mimi nimezisahau.

Lakini bado wazee wetu wanazo gari hizo hadi leo na kuwa katika hali nzuri kama gari hii inavyooonekana ikiwa katika moja ya gereji katika mtaa wa mkunazini ikiwa katika harakati za kutengeneza na kupigwa ragi kwa ajili ya matumizi na historia ya magari katika Zanzibarr

4 comments:

  1. Aaaaaah umenikosha sana leo kakayangu Othman... Kwani nikiona gari hii nakumbuka Tax za Kengeja na gari ya Marehemu baba yangu. Mungu amlaze pema...

    Ilikua ni gari ya kwanza kutembea ktk barabara za Chake Mkoani na Ukutini Pemba.

    ReplyDelete
  2. Hilo gari kama hapa uwengereza litafanyiwa ukarabati na muonekano mpya na Engine mpya samani yake inaweza kufika Pound laki mbili sawa na milioni mia tano za kitanzania.

    Ingelikuwa mimi nina uwezo, ningeliifanyia ukarabati hio gari na ikawa ya samani zadi ya hizi zilizopo sana, tena nafikiria ningekosha maharusini na ma celebrity.

    ReplyDelete
  3. hahahaha anonymous wa 3 unanichekesha... huko unguja kuna ma celebarty...? we will get out of there if there are...hahahaha.... Itakua vile vipindi vya TV za Uropean.. wanaowapeleka Ma- Celebrity kwenye Jungle wakatafunwa na Mbu... I am a Celebrity...Get me Out Off Here.....

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.