Habari za Punde

Matunda ya Mapinduzi ya Zanzibar miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar

Miradi ya maendeleo miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ni Uimarishaji wa miundombinu ya barabara mbalimbali Kisiwani Pemba kutowa huduma ya ufanisi kwa watumiaji wa barabara hizo na kuleta urahisi wa kusafirisha mazao mashambani hadi mjini, kama inavyoonekana barabara hii ya Finya mzambarau takawa kuelekea barabara za Micheweni,Konde   

2 comments:

  1. NAONA HAYO MATUNDA MAPINDUZI YASHAOZA KAKA HIYO BARABARA HAINA HATA ALAMA Z BARABARA ,HATA CHAKI BASI INAYO ONESHA UPANDEMMOJA WA BARABARA ????MPITA MIGUU APITE WAPI ,WENYWE BAISKELI APITE WAPI ,,,, AU KWA VILE IMETIWA LAMI NDO BARABARA ,,,,ACHENI KUDANGANYA WATUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  2. Barbara nzuri Sana. Tuhongere. Mungu ibariki Zanzibar. I love it!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.