Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,alipowasili katika uwanja wa Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika ufunguzi wa matembezi Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 5o ya Mapinduzi.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka,alipowasili katika uwanja wa Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika ufunguzi wa matembezi Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 5o ya Mapinduzi.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Vijana wa UVCCM wakiwa wamebeba Pich za Viongozi wa Chama katika Matembezi ya Madhimisho ya miaka 5o ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(hayupo pichani)kuanzia Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Vijana wasoma Utenzi Saumu Mohammed,na Rehema Juma,wakiwaburudisha wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja wa Vijana UVCCM Zanzibar ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,ambapo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,atafungua matembezi hayo yatakayoanza Micheweni ,Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akizungumza na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar na Wanachama wa CCM Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,pamoja na kuyafungua Matembezi ya Umoja huo ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata, (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Vijana wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wa Mikoa na Wilaya wakiwa katika uwanja wa Mpira wa Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakisubiri ufunguzi wa matembezi ya umoja huo ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment