Rais Mstaaf wa Awamu ya Tano wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma (Komandoo) akizungumza na Viongozi wa Jumiya ya Wazazi Tanzania walipofika nyumbani kwake kumtembelea na kujua hali yake.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Abdalla Bulembo, akizungumza katika ziara ya kumtembelea Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Salmin nyumbani kwake migombani Zanzibar.
Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dogo Mabrouk akizungumza katika mkutano huo na Dkt.Salmin nyumbani kwake migombani
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Najma Murtaza Giga
Rais Mstaaf wa Awamu ya Tana Dk. Salmini Amour Juma, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, walipofika kumtembelea na kuzungumza nae nyumbani kweke Migombani Zanzibar.
yupo kumbe huyu mzee mi hata nishamsahau
ReplyDeletekumbe yupo huyo mzee mi nilikua nishamsahau .ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka
ReplyDeletemi nilikua nishamsahau huyu mzee bado yupo ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka
ReplyDeleteAiseee basi hata kiti habadilishiwi kibovu namna hio
ReplyDeleteKiti kishaoza hicho
ReplyDeleteJamani mbadilishieni kiti ni aibu kwa mstaafu kukalia kiti kibovu kama hicho
ReplyDelete