Habari za Punde

Wanafunzi wa PhD. Shangai China

Wanafunzi wa PhD wa Shanghai International Studies University wakiwa katika kikao cha mwisho cha  pati ya kumaliza muhula wa masomo 2013,Jijini Shanghai.aliyesimama ni Mwanafunzi kutoka Zanzibar Idara ya Habari Maelezo Muandishi wa Habari Muandamili Juma Mohammed,akizungumza katika hafla hiyo ya kumaliza masomo yao ya muhula wa masomo kwa mwaka wa 2013. wakipongezana kwa kumaliza muhula huu kwa amani na afya njema  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.