Naibu Katibu wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mohamed Hamis , akipokea sehemu ya Tisheti maalum kwa niaba ya Makamu, kutoka kwa Meneja wa NMB Tawi la Zanzibar Town, Bakari Hamis Mohamed, kwa ajili ya Vijana wa Mkoa wa Kusini Pemba zitakazotumika katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, zinazofanyika kesho kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar. Katikati ni Meneja wa Huduma kwa Wateja wa benki hiyo, Abuu Msagula. Picha na OMR
JESHI LA POLISI LASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA MASHIRIKIANO NA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII
-
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura (kushoto) na Mkuu wa
Chuo cha Taifa cha Utalii Dkt. Florian Mtey, wakisaini Hati ya Makubaliano
na Ma...
2 minutes ago
No comments:
Post a Comment