Habari za Punde

Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi zilivyofana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya vikosi vya ulinzi katika kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,huko uwanja wa Amaan leo

Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika sherehe za kilele cha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ziliaofamyika le katika uwanja wa Amaan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la  vikosi vya ulinzi katika kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,huko uwanja wa Amaan leo

 Viongozi mbali mbali wa Kitaifa na Mataifa wakisimama kupokea saklamu ya Heshma iliyotolewa na Vikosi vya Ulinzi wakati wa Sherehe za Kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katikaUwanja wa Amaan Mjini Unguja

 Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika sherehe za kilele cha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika le katika uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Vijana wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakipita na bango lao linalowakaribisha watu mbele ya mgeni rasmi Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika   sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja


Kikosi cha Jeshi la Kikosi maalum cha kuzuiya magendo KMKM  kikipita mbele ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali MOhamed Shein na kutoa salam ya heshma  ya gwaride mwendo wa Haraka wakati wa Kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  Uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo
 
 
  Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU)  kikipita mbele ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali MOhamed Shein na kutoa salam ya heshma  ya gwaride mwendo wa Haraka wakati wa Kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  Uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Museven, wakati wa kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo

     Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa  wakati wa kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Maria Nyrere   wakati wa kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo

 Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Mgeni rasmi kutoa hesham ya gwaride mwendo wa Haraka wakati wa Kilele cha sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar katika  uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

2 comments:

  1. tangu lini tulikuwa na serikali jama , hii serikali ni ya kibaraka tangu mwanzo mpaka leo hatujaweza kujitawala tunatawaliwa tu tumebadili mkoloni kwanza alikuwa sultani na mwingereza , sasa mtanganyika , sawa pongezi kwa serikali kibaraka kutufikisha miaka 50 ya kutawaliwa

    ReplyDelete
  2. Kuna Serikali ngapi za Mapinduzi Duniani.Nchi mnasema ya Kidemokrasi sasa bado ni kimapinduzi tu hadi lini?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.