Habari za Punde

Dk Shein aendelea na ziara nchini India

TA1A1758Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia taa iliyotengenezwa na Akinamama wa Zanzibar Kisiwani Pemba alipotembelea Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan nchini India akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.]TA1A1772Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (mwenye suti nyeusi katikati)akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan nchini India pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku ya pili ya ziara yake katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.]TA1A1795Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( katikati)akiwa na Viongozi wa  Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan nchini India pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku ya pili ya ziara yake katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.]TA1A2020Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiingia katika  Makumbusho ya Hawa Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la Rajastan nchini India  akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.]TA1A2030Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiingia katika  Makumbusho ya Hawa Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la Rajastan nchini India  akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.]TA1A2096Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiingia Vitu mbali mbali vya kihistiroa katika  Makumbusho ya Hawa Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la Rajastan nchini India  akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.]TA1A2098Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiingia Vitu mbali mbali vya kihistiroa katika  Makumbusho ya Hawa Mahal  Mji wa Jaipur Jimbo la Rajastan nchini India  akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.