Habari za Punde

Dk Shein awasili Dodoma kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo .[Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa   Ndege wa Dodoma leo akihudhuria katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kinachoanza jioni hii. [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi alipowasili katika uwanja wa   Ndege wa Dodoma leo akihudhuria katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kinachoanza jioni hii,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi . [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.]


Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Makao  Makuu Dodoma wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein   alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo,[Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiimba wimbo wa Chama alipokaribishwa na Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Makao  Makuu Dodoma leo,mara liowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma Mjini (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi,[Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.