Habari za Punde

Ujume wa Meya wa Jimbo la Califonia wakutana na Rais Dk.Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Meya wa Jimbo la Califonia nchini Marekani Mstahiki  Osby Davis,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na  Meya wa Jimbo la Califonia nchini Marekani Mstahiki  Osby Davis,leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao .{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.