Habari za Punde

Kampuni ya Travalport kuazisha Chuo cha Mafiunzo ya Utalii kupitia Mtandao.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayotoa Huduma za Utalii Tanzania ya TravelPort, Ndg. Elisaph Mathew, akitowa maelezo ya Kampuni yao inayotowa Elimu ya Kukuza Utalii kupitia njia ya Mtandao. Hafla hiyo imefanyika katika hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayotoa Huduma za Utalii Tanzania ya TravelPort, Ndg. Elisaph Mathew, akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi huo na kukabidhi Vyeti kwa wanafunzi wa mwazo waliopata mafunzo ya kukuza Utalii kupitia njia ya Mtandao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kutembeza Watalii ya Zenith Ndg. Salim Mohammed Suleiman, akizungumza katika hafla hiyo ya kuwatunukia Vyeti Wanafunzi waliopata Mafunzo ya Kieletrinic ya kutumia Mtandao kwa Utoaji wa Huduma za Utalii kupitia Mtandao.
Wanafunzi wa Chuo cha Tranel port wakifuatilia hafla ya kukabidhiwa Vyeti wahitimu wa Mafunzo hayo ya Kukuza Utalii kwa njia ya Mtandao Tanzania.
Wadau wa Sekta ya Utalii Zanzibar wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Travel Port Tan  Tanzania Ndg.Elisaph Mathew, 

Mkurugenzi Mtendaji wa Traval Port Tanzania Ndg. Elisaph Mathew, akimkabidhi Cheti Mhitimu wa Mafunzo ya Huduma za Kukuza Utalii kupitia Mtandao, Ndg. Halima Ibrahim, Mafunzo hayo yametolewa na Traval port Tanzania. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Traval Port Tanzania Ndg. Elisaph Mathew, akimkabidhi Cheti Mhitimu wa Mafunzo ya Huduma za Kukuza Utalii kupitia Mtandao, Ndg.Yusra Abdallah. Mafunzo hayo yametolewa na Traval port Tanzania, katikati ni Meneja Masoko wa Travalport Tanzania Bi.Groria Urasa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Traval Port Tanzania Ndg. Elisaph Mathew, akimkabidhi Cheti Mhitimu wa Mafunzo ya Huduma za Kukuza Utalii kupitia Mtandao, Ndg.Farhiya Nassor. Mafunzo hayo yametolewa na Traval port Tanzania, katikati ni Meneja Masoko wa Travalport Tanzania Bi.Groria Urasa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Traval Port Tanzania Ndg. Elisaph Mathew, akimkabidhi Cheti Mhitimu wa Mafunzo ya Huduma za Kukuza Utalii kupitia Mtandao, Ndg.Ilham Salum.Mafunzo hayo yametolewa na Traval port Tanzania
                           Mdau mambo ya msosi hayoo msosi wa kizenj huoooooooo.........








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.