Habari za Punde

Mdau Mambo ya Msimu huooooooooo............

Mdau mambo ya juice imeshaaza PBA baada ya msimu wa matunda ya mabungo kuazi kisiwani Pemba na kicha kimoja kwa sasa huuzwa kati ya shilingi 1000/= na 2500/=. yakiwa katika moja ya kituo cha biashara hiyo meli sita ni maarufu kwa biashara hiyo kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.