Habari za Punde

RAIS DK.SHEIN AKIZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,MAKAAZI,MAJI NA NISHATI.

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Makaazi,Maji na Nishati, katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini  Zanzibar  leo asubuhi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein (katikati)  akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Makaazi,Maji na Nishati, katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini  Zanzibar 
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya  Ardhi Makaazi,Maji na Nishati, wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar  leo asubuhi, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.