Habari za Punde

Tafrija ya Kumpongeza Mhe. Asha Bakari.

Keki maalum alioandaliwa Mbunge Maalum wa Bunge la Katiba Mhe. Asha Bakari Makame kwa kutetea Udhalilishaji wa Kijinsia katika Bunge la Katiba, hafla hiyo imeandaliwa na Baadhi ya Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kwa ajili ya kumpongeza. kwa msimamo wake. 
Mjumbe wa Bunge Maalum laKatiba Mhe. Asha Bakari Makame, akikata keki maalum alioandaliwa na baadhi ya Wajumbe Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kuashiria uzinduzi wa hafla hiyo, ya kumpongeza kwa msimamo wake., kushoto Mjumbe wa Bunge la Katiba Mhe. Zainab Omar.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Asha Bakari Makame, akimlisha keki Mjumbe mwezaji wa Bunge la Katiba Mhe. Zainab Omar, hafla hiyoimefanyika mjini Dodoma jana.  
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tanzania Mhe, Waride Bakari Jabu, akitowa neno la shukrani kwa baadhi ya Wajumbe waliohudhuria hafla hiyo ya kumpongeza Mjumbe mwezao Mhe Asha Bakari Makame.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.