Habari za Punde

Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Wakifanya Usafi.

Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakifanya usafi katika mija ya eneo la kutupia taka katika jumba namba saba ili kuweka  mazingira safi. ikizingatiwa tukioa katika kipindi hichi cha mvua za masika zikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.