Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa
Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani
wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma
Wachezaji wa Timu ya Soka
ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia wakipata Chakula
cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye
makazi yake mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha
ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani,
waliotwaa ubingwa wa Dunia katika Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,
2014. (Picha na Ofiai ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment