Habari za Punde

Wiki ya chanjo Afrika kuzinduliwa kesho, katika Kituo cha Afya Chumbuni Zenj.


Mratibu wa Chanjo Zanzibar Bw. Yusuf Haji Makame akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu wiki ya chanjo Afrika itayozinduliwa kesho na Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni Haji uzinduzi huo utafanyika kituo cha Afya Chumbuni Mjini Zanzibar.
Mdhibiti magonjwa - Kitengo cha Chanjo Wizara ya Afya Bw. Abdulhamid Ame akitoa ufafanuzi kuhusu Chanjo wakati wa Mkuta na wandishi wa Habari.
Baadhi ya wandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini maelezo ya Mratibu wa Chanjo Zanzibar Bw. Yusuf Haji (hayupo pichani) kuhusu siku ya Chanjo Afrika katika ukumbi wa Mazsons Hotel Shangani Mjini Zanzibar
Muandishi wa Habari wa Staa TV Abdallah Pandu akitaka ukiuliza swali kuhusu wiki ya Chanjo Afrika .(Picha na Makame Mshenga - Maelezo )




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.