Habari za Punde

Mchango wa Kijana Mwanaid aliyepata Ajali ya Moto

Kiasi kilichopatikana kwa Wadau waliochangia kupitia Mtandao wa TigoPesa na Mpesa, zikiwa zimewasilisha Bank ya PBZ. Ikiwa ni hatua ya kukusanya michango kwa Wananchi kuweza kumsaidia Kijana huyo kuweza kupatika Matibabu Nje ya Nchi.

Wananchi mnaweza kuchangia kupitia Tigo Pesa No 0715424152 kwa Jina la Othman Maulid Othman.
Mpaka sasa kiasi kilichopatikana ni Shilingi 379,000/=
Nategemea UshirikianoWenu kuendelea kupata michango kupitia AC NO. 051206007686 kwa jina Pavu Amor Ameir. na kupitia TigoPesa 0715424152.
Tunawashukuru waliojaaliwa kutowa msaada wao kwa Kijana Mwanaid. na Mwenyezi Mungu atawajalia kila la kheri juu yao.

Waliotoka Msaada huo kupitia Tigo Pesa
Jaffari Msati  Sh.20,000/= Francis Mafita Shs. 5000/=, Kelvine Mrema Shs. 20,000/=, Maryam Hoza wa Caribian, Shs.49,000/= kupitia MoneyGram. Ibrahim Towo Shs. 50,000/=  Omoya Denice Shs 20,000/= Elisa Mbise Shs 4000/=  Amepitishia NMB bank Mobile 3000/=  na Bi Fatma Mohammed wa Mbweni Zanzibar Shs. 200,000/=.   


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.