WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Mhe:Mohammed Aboud Mohammed, akiangalia kiatu cha Kike wakati
alipotembelea maduka mbali mbali na kujuwa bei za bidhaa, ndani ya mji wa chake
chake katika kuelekea skukuu ya Edd el fitr.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Mhe:Mohammed Aboud Mohammed, akiangalia mtandio wakati alipotembelea
wafanya biashara wadogo wadogo waliomo ndani ya mji wa chake chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Mhe:Mohammed Aboud Mohammed, akiangalia suruali ya mtoto, wakati
alipofanya zaiara ya kuangalia bei za bidhaa madukani, ikiwa ni kuelekea skukuu
ya Edd el fitr.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake, Mhe:Mwanajuma Majid
Abdalla akimpatia maelekezo waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Zanzibar, Mhe:Mohammed Aboud Mohammed mwenye kanzu wakati alipotembelea maduka
ya Chake Chake kuangalia bei za bidhaa kuelekea skukuu ya Edd el fitr.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment