Habari za Punde

Ukistaarabu ya Musa! Enjoy Juisi ya muwa kwa mrija!

Ikiwa gilasi tunazotumia Juisi ya muwa zinakoshwa na kisha kutumika tena kwanini na mirija isiwe hivyohiyo?
 
Enjoy Juisi ya muwa kwa mrija!
 
Picha kwa hisani ya Dj - Laty D Tizo via Facebook

1 comment:

  1. Naona Kama maradhio ya EBOLA hayako Mbali ikiwa Mirija Inayortumika inakoshwa kwa maji nakutumiwa tena hii ni balaa.. Thanks God ninaponunua Juice ya Miwa Huenda na Chupa yangu nikatiliwa..

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.