Habari za Punde

Ligi Kuu Kipanga na Zimamoto Amaan.

Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Hakim Khamis akiwapita mabeki wa timu ya Kipanga katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar iliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Zimamoto imeshinda 2--1
Mchezaji wa timu ya Zimamoto Nyange Othman akimpita beki wa timu ya Kipanga Suleiman Himid, katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Zimamoto imetoka kifua mbele kwa mabao 2-1.
                    Mchezaji wa timu ya Zimamoto akijiandaa kumpita beki wa Kipanga.

Beki wa timu ya Kipanga Mwinyi Iddi akijiandaa kumzuiya mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad, katika mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Zimamoto imeshinda 2--1
            Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto akiwapita wachezaji wa timu ya Kipanga
               Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto akiwapita wachezaji wa timu ya Kipanga

Kocha wa timu ya Kipanga Juma Yussuf Sumbu akiwa na bubuwazi baada timu yake kufungwa bao la pili katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa amaan.
       Wachezaji wa timu ya Zimamoto wakishangilia bao lao la pili kwa aina ya kusali uwanjani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.