Habari za Punde

Kombe la Majimbo Majimbo Makunduchi na Bububu. Uwanja wa Mao.

 Kocha wa timu ya Jimbo la Bububu Seif Bausi akifuatilia mchezo huo kati ya timu yake na timu ya Jimbo la Makunduchi uliofanyika uweanja wa Mao, Timu ya Makunduchi imeshinda 2--1.
 Mchezaji wa timu ya ,Makunduchi akimpita mchezaji wa timu ya Jimbo la Bububu katika michuano ya Kombe la Majimbo Zanzibar mchezo uliofanyika Mao. timu ya Makunduchi imeshinda 2--1
Mshambuliaji wa timu ya Bububu akizuiya mpira huku wachezaji wa timu ya Makunduzi wakijianda kumzuiya wakati wa mchezo wa Kombe la Majimbo.
                  Mshambuliaji wa timu ya Bububu akiwapita mabeki wa timu ya Makunduchi.
Kocha wa timu ya Jimbo la Bububu akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mchezo wao na timu ya Makunduchi uliofanyika uwanja wa Mao.
Kocha wa timu ya Makunduchi akitowa maelekezo kwa mchezaji wake wakati wa kipindi cha p[ili cha mchezo wao na timu ya Jimbo la Bububu uliofanyika uwanja wa Mao Timu ya Jimbo la Makunduchi imeshinda 2--1



Wachezaji wa timu ya Jimbo la Makunduchi wakishasngilia goli lao la ushindi katika mchezo wao na timu ya Jimbo la Bububu uliofanyika uwanja wa Mao. Timu ya Makunduchi imeshinda 2--1. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.