Habari za Punde

Ligi Kuu Miembeni na Zimamoto imeshinda 4--1

Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad akimpita beki wa timu yaMiembeni Salum Seif,  wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt, uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya Zimamoto imeshinda 4--1. 

Mashabiki wa mchezo wa mpira Zanzibar wakishangilia bao la nne la timu ya Zimamoto dhidi ya timu ya Miembeni mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.Timu ya Zimanoto imeshinda 4--1
Wachezaji wa timu ya Zimamoto wakishangilia bao lao la nne na la ushindi dhidi ya timu ya Miembeni mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.
          Mchezaji wa timu ya Miembeni kushoto na wa Zimamoto kulia wakiwania mpira
         Mchezaji wa timu ya Zimamoto akimzunguka beki wa timu ya Miembeni Azizi Shaweji.
Golikipa wa timu ya Miembeni Mwinyihaji Hassan akiokoa mpira golini kwake wakati akirejeshewa na beki wake.


Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad, mwenye mpira akimpita beki wa timu ya Miembeni Majid Khamis, wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt, uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Zimamoto imeshinda 4--1.
Mchezaji wa timu ya Miembeni Ahmeid Kipogo, akiwapita wachezaji wa timu ya Zimamoto, timu ya Zimamoto imeshinda 4--1.
Beki wa timu ya Zimamoto Ramadhani Abdalla, akiwa na mpira wakati mchezaji wa timu ya Miembeni Hassan Seif (Banda) akimkimbilia 
Mshambuliaji wa timu ya Miembeni Mohammed Salum akizuiya mpira huku beki wa timu ya Zimamoto akijiandaa kumzuiya Juma Ramadhani.mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.timu ya Zimamoto imeshinda 4--1.Be
Mshambuliaji wa timu ya Miembeni Hassan Seif (Banda) akimpita beki wa timu ya Zimamoto, Ramadhani Abdalla, katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt, uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya Zimamoto imewshinda 4--1.
.
Golikipa wa timu ya zimamoto Khamis Zidi, akidaka mpira huku mshambuliaji wa timu ya miembeni Abdulkadir Mwinyi akiwa karibu akiwania mpira huo.timu ya Zimamoto imeshinda 4--1. 
Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Ibrahim Hamad, mwenye mpira huki beki wa timu ya miembeni Mansour Marzouk, wakati wa mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja amaan, timu ya Zimamoto imeshinda 4-1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.