Habari za Punde

Ligu Kuu Grand Malt Miembeni na Kipanga zimetoka sare ya 1-1

Kikosi cha timu ya Kipanga kilichotoa upinzani na Timu ya Miembeni kuilazimisha kutoka sare ya bao 1--1, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar. Ikiwa imepanda daraja msimu huo  baada ya kudima kwa muda katika daraja la kwanza na hatimai kufanikiwa kurudi ligi kuu na kutowa upinzani kwa timu ya miembeni katika uwanja wa amaan.
Kikosi cha timu ya Miembeni kilicholazimisha sare na timu ya Kipanga katika dakika za lalasama kupitia mshambuliaji wake Othm,an Omar, kuweza kuisawazishia timu yake katika dakika ya 90 ya mchezo huo.
Mshambuliaji wa timu ya Kipanga Matteo Antoni mwenye mpira akijiandaa kumpita beki wa timu ya Miembeni Othman Omar katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Grand Malt inayofanyika katika uwanja wa Amaan. 
Beki wa Timu ya Miembeni Mohammed Du Bakari akiokoa moja ya hatari golini kwake na huku wachezaji wa timu ya Kipanga wakijaribu kumzuiya kushoto Hassan Saleh na Amour Suleiman.
Shabiki wa timu ya Kipanga akipeperusha bendera ya timu yake kwa wapenzi wa timu ya Miembeni wakati wa mchezo huo wa Ligi Kuu ya Grand Malt iliofanyika uwanja wa Amaan.

Golikipa wa timu ya Miembeni Mwinyiures Hassan, akidaka mpira golini kwake huku mchezaji wa timu ya Kipanga akijiandaa kuona nini kinatokea.
Mshambuliaji wa timu ya Kipanga Matteo Antoni akiruka kwanja la beki wa timu ya Miembeni Othman Omar akigaragara chini baada ya kumkosa.









Beki wa timu yac Kipasnga Munir Iddi, akiokoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wao na timu ya Miembeni uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya 1--1.
Mshambuliaji wa timu ya Miembeni Hassan Seif, akipiga jaro golini kwa timu ya Kipanga huku mchezaji wa timu ya Kipanga Mussa Suleiman, akijiandaa kumzuiya  
Kocha Mstaaf wa tim u ya Taifa ya Zanzibar na timu ya Small Simba Msoma akiwa na makocha wa timu mbalimbali akifuatilia mchezo huo wa Ligi Kuu ya Grand Malt kati ya Miembeni na Kipanga uliofanyika uwanja wa Amaan, akitowa maelezo kwa makocha hao makosa yanayofanywa na wachezaji wa timu hizo
Mchezaji wa timu ya Miembeni Suleiman Ali Pishori, akijaribu kumzuiya mchezaji wa timu ya Kipanga, Munir Idd, mwenye mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt mchezo uliofanyika uiwanja wa Amaan. timu hizo zimetoka sare ya 1--1.
Mshambuliaji wa timu ya Miembeni Hassan Seif, akimpita beki wa timu ya Kipanga, katika mchezo wao wa ligi kuu ya Grand Malt, uliofanyika uwanja wa Amaan, timu hizo zimetoka sare ya 1--1 
Wachezaji wa timu ya Miembeni wakishangilia bao lao la kusawazisha lililofungwa na mshambuliaji wake Othman Omar katika dakika ya 90 ya mchezo huo uliofanyika uwanja wa amaan kuwezesha timu hizo kutoka sare ya 1--1.
Kocha wa timu ya Kipanga Juma Yussuf Sumbu, akizungumza hali ya mchezo  wao wa mwazo swa ligi kuu ya Grand Malt, baada ya kupanda daraja msimu huu, ikiwa na kikosi chake kipya na kucheza kiwango cha juu na kuweza kupata bao lao la kwanza kupitia kwa mchezaji wake Abubakar Ayoub katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Kocha swa timu ya Miembeni saidi Kwimbi akizungumza na waandishi wa habari jinsi timu yake ilivyocheza na katika mchezo huo na kuikosa mabao mengi kupitia mshambuliajhi wake Hassan Seifm , kupoteza nafasi nyingi na kusema timu yake imecheza mpira wa kiwango cha juu ila wenzetu wametangulia kufunga katika dakika ya 41 ya mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.