Habari za Punde

Unapoihitajia unaikuta hivi!


Pamoja na Wananchi kutakiwa kuweka fedha zao Benki lakini bado kuna Wananchi wana tabia ya kuweka fedha katika mazingira yasio salama, pichani ni baadhi ya fedha zilizoharibika kwa kuwekwa katika mazingira yasio salama huko Kisiwani Pemba.

picha kwa Hisani ya Benki ya PBZ.PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.