Habari za Punde

Waa Waa Uwanja wa kufurahisha watoto Kibirinzi Pemba

 PEMBEA ya ndege ikiwa imeshakamilika kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

 PEMBEA ya Farasi ikiwa imeshakamilika kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

 PEMBEA ya vibeseni ikiwa imeshakamilika kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

 BANDA litakalotumika kuwekewa vigari likiwa limeshakamilika kujengwa na kusubiri vigari hivyo kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

PEMBEA la wanda nalo likiwa limeshakamilikwa pamoja na kutestiwa kuzunguruka kwakwe likiwa linasubiri kukamilika kwa kiwanja lianze  cha kufurahishia watoto kilichpo Kibirinzi Chake Chake Pemba lianze kufanya kazi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)


1 comment:

  1. Kitunzwe kidumu.Hata hivyo ushauri wangu pawe na mabati ya rangi mengi na kwa wakati ili kupakazwa kila muda mchache mana pembea zipo karibu na bahari.Kuna hatari ya kuoza kwa kufanya kutu kama tahadhari hazitapewa kipa umbele,la sihivyo zitakuwa BURE GHALI.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.