Habari za Punde

ZFA Yakabidhi Fedha za Udhamini timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Garand Malt Zanzibar.

Viongozi wa timu zinazoshiriki ligi kuu ya grand malt wakisubiri kukabidhiwa fedha zao za mgao wa dhamini wa Kampuni ya grand maltu t


 , a
Katibu wa ZFA Taifa Kassim Haji, akimkabidhi Katibu wa timu,ya Mtende Ndg.Salum Mohammed, fedha kwa ajili ya kugharamia za usafiri kwa timu yake katika kushiriki katika ligi hiyo. makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za ZFA amaan Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya ZFA Taifa Ndg. Hashim Salum, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na mgao wa fedha za udhamini kwa timu 12 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar, kila timu imepata mgao wa mwanzo shilingi 4,130,000/=  
Katibu wa Timu ya KMKM Ndg. Sheha Mohammed Ali akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa fedha zao za kujikimu katika gharama za usafiri katika kushiriki kwa zilizotolewa na Mdhamini wa michuano hiyo Kampuni ya Grand Malt Tanzania iliodhamini ligi hiyo kwa miaka mitano na mwaka huu ni wa mwisho kwa udhamini huo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.