Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwahi kuhudhuria Kikao cha Baraza la Wawakilishi cha asubuhi wakiwa katika viwanja vya jengo hilo.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wakati wa Kikao cha asubuhi kuchangia Mswada wa Shirika la Nyumba Zanzibar uliowasilishwa na Waziri wa Ardhi,Maji Maakazi na Nishati Mhe. Ramadhani Abdalla Shaban.
Wajumbe wakipitia Mswada wa Shirika la Nyumba Zanzibar kabla ya kuwakilisha katika kikao hicho.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Mhe. Dk.Mwinyihaji Makame, akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar. wakiwa ukumbi wa mkutano kabla ya kuaza kwa kikao hicho cha asubuhi kuaza.  
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakisimama wakati wa kuimbwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza shughuli za Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho akisoma dua ya kuliombea Baraza kuaza kwa shughuli zake za Kikao cha asubuhi.  


Wanafunzi wa Chuo cha Afya Mbweni wakifuatilia michango ya Wajumbe wakati walipofanya ziara kujionea shughuli za Baraza zinavyoendeshwa na Wajumbe katika kuchangia michango mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.