Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kipanga na Hard Rock Amaan.


Mchezaji wa timu ya Hardrock katikati akijiandaa kupiga mpira katikati ya mabeki wa timu ya Kipanga 
Mshambuliaji wa timu ya Hardrock Steven Thobias, akiwapita mabeki wa timu ya Kipanga katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Hardrock imeshinda 1--0.
Beki wa timu ya Kipanga Abubakari Ayuob akijiandaa kumzuiya mshambulioaji wa timu ya Hardrock, wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan. 





Golikipa wa timu ya Kipanga Abdallah Ramadhan akidaka mpira wakati wa mchezo wao na Hardrock uliofanyika uwanja wa Amaan.
Golikipa wa timu ya Kipanga Abdallah Ramadhan, akiruka juu bila ya mafanikio na mpira kuigia golini uliopigwa na mchezaji Burhan Rashid kuifanya timu ya Kipanga kutoka kivua mbele kwa bao 1--0.
 Wachezaji wa timu ya Hardrock wakishangilia bao lao lililofunkatika katika dakika ya 70 ya mchezo huo na mshambuliaji wake Burhani Rashid, mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.

Mshambuliaji wa timu ya Hardrock Burhani Rashid,kulia akiwania mpira na mchezaji wa timu ya KipangaHaji Idrisa wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya Hardrock imeshinda 1--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.