Habari za Punde

Msikiti unaoendelea kujengwas Kambini kichokochwe


WAISLAMU wa kijiji cha Kambini kichokochwe wilaya ya Wete Pemba, wakiwa kwenye usafi wa msikiti wao mpya, mara baada ya kumaliza sala ya Ijumaa wikia iliopita, ambapo wanaomba misaada ya hali na mali, ili wamalizie hatua ya awali na waanze kuutumia (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.