Habari za Punde

RAIS KIKWETE AONDOKA VIETNAM BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI NCHINI HUMO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto),Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbungewa Tumbe Mhe Rashid Ally Abdallah (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi
kabla ya kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi leo Oktoba 28,2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam  leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam  leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa  na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam leo

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  akiagana na  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi leo Oktoba 28, 2014 PICHA NA IKULU

1 comment:

  1. Safi sana Rais wa pili kwa ubora Bongo land Mungu akupe maisha matamu na marefuuuu zaidi!!! siku ukifa uende paradisi viva kikwete viva!! hajajenga uwanja wa ndege kwao chalinze! alitoa fursa kwa wote n kilimo kwanza!





    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.