Habari za Punde

Taarifa kwa Waandishi wa Habari

YAH: KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA MAKAMU WA RAIS NA WADAU WA HABARI
 
Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa akutane na wadau wa habari tarehe 01/11/2014 kwenye makazi yake Oysterbay, Jijini Dar es salaam. Hata hivyo, kutokana na majukumu mbalimbali ya kitaifa shughuli hiyo imeahirishwa mpaka hapo itakapotangazwa tena. Kwa wale ambao walipata barua ya mwaliko tutawaletea barua rasmi ya kuahirishwa kwa shughuli hiyo.
 
 
Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais
Dar es slaam
29/10/2014

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.