Habari za Punde

Taarifa ya Nafasi za Kazi Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye Makao yake Mjini Arusha Tanzania inatangaza Nafasi za Kazi kwa Vijana wenye Sifa zilizotajwa hapo chini.

Kamishine ya Utamaduni Zanzibar inawatangazia Wazanzibari wote Nafasi za Kazi za Kemisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye Makao yake Makuu Jijini Arusha Tanzania.
Kamisheni hiyo ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo itakuwa na Makao yake Makuu Mjini Zanzibar inatangaza nafasi za kazi kwa Wananchi wenye sifa.

 Nafasi zenyewe ni 
1.Executive Secretary.
2.Principle Accountant.
3.Senior Human Resources Officer.
4.Senior Personal Secretary.
5.Driver. 

Kwa Wananchi watakao omba nafasi hizo kwa maelezo zaidi na taarifa kamuli pamoja na fomu za maombi zinapatikana katika tovoti hii www.eac.int.    

Na fomu za maombi ziwe zimewasilishwa siku ya jumatatu tarehe.10 Novemba 2014 si zaidi ya saa 11jioni katika Ofisi za Utamaduni Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.