Habari za Punde

Taasisi ya Viwango Zanzibar wakutana na Dk.Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea ripoti ya Taasisi ya Bodi ya Viwango Zanzibar (ZBS) kutoka kwa Porf Mshimba jana wakati Uongozi wa Bodi hiyo ulipokutana na Rais Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.