Habari za Punde

Vipajii vya Kojani


VIPAJI vya aina hii vya watoto, kuelekea kwenye upigaji wa ala na gita za muziki, vinafaa kuungwa mkono na serikali kupitia wizara yake inayoshughilikia utamaduni,  ambapo watoto wa kisiwa cha Kojani, wamekua mstari wa mbele, kuacha kazi za uvuvi baadhi yao na kujaribu suala la upigaji wa alaa na muziki kwa kutumia vifaa vya matumizi ya ndani (picha na Haji Nassor, Pemba)

1 comment:

  1. Mwandishi jaribu kuwa makini kidogo. Hivi kushajihisha vijana kama Hawa kuacha kazi ya kuvua na kuingia kwenye shughuli za upigaji Wa ala za muziki ndio umesaidia nini. Nilitaraji utatilia mkazo Wa kuwepo while ns kupata elimu ya kuendeleza maisha yao name taifa kwa ujumla

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.