Habari za Punde

Waandishi wa Zanzibar leo watembelea kikundi cha ushirika wa uvuvi Mbuyuni, Mkoani Pemba

Waandishi wa habari wa gazeti la Zanzibar leo -Pemba, wakizungumza na mwenyekiti wa kikundi cha ushirika wa uvuvi cha Mbuyuni Mkoani Pemba, ambao walipatiwa msada wa vifaa na fedha Taslim na Tasaf Macemp juu ya mafanikio yao.

 Picha na Bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.