Habari za Punde

Wanafunzi kusini Pemba watembelea Manta Resort


MENEJA wa hoteli ya ‘Manta resort’ ya Makangale wilaya ya Micheweni Pemba, Mathewa Saus, akiwafahamisha wanafunzi na waalimu wa skuli za sekondari za mkoa wa kusini Pemba, namna ya ujenzi wa chumba cha chini ya maji ya bahari kinavyofanya kazi, kwenye ziara maalumu ilioandaliwa na kamisheni ya utalii Pemba(picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.