Habari za Punde

Jengo la Wafanyabiashara la Machinga Complex Ilala Karume laungua Moto Mchana huu.

Jengo la Wafanyabiashara la Machinga Complex likiwaka moto katika mtaa wa Ilala jirani na uwanja wa karume.kama linavyoonekana pichani likiwaka moto mchana wa leo. 



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.