Habari za Punde

Maji yaanza kupatikana Chakechake baada ya Mashine kutengenezwa

 Mashine ya kusukumia maji ambayo moja ya kifaa chake kiliungua na kusababisha uhaba wa maji Chakechake ikiwa katika matengenezo

Wananchi katika maeneo ya Wawi Pemba, wakianza kupata huduma ya Maji safi na salama  baada ya kuikosa kwa muda wa wiki moja, baada ya kuunguwa mashine ya kusukumia Maji  (MOTA).

picha na MEIBAKU MOLEL TSJ-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.