Habari za Punde

MKUTANO WA CCM WA MABALOZI KASKAZINI A UNGUJA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika katika Hoteli ya Bravo Club Kiwengwa Wilaya ya Kaskazini A kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani akiwa katika ziara  zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mpya wa CCM Kaskazini Unguja Mula Othman Zubeir alipofika katika Hoteli ya Bravo Club Kiwengwa Wilaya ya Kaskazini A Unguja kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika ziara zake za kuimarisha Chama Mkoa wa Kasakzini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Meja Mstaafu Juma Kassin Tindwa (kulia) na Mwenyekiti wa CCM Kaskazini Unguja Juma Haji Juma mara  alipowasili katika Hoteli ya Bravo Club Wilaya ya Kaskazini A Unguja kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  katika kuimarisha Chama


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitia saini kitabu cha wageni alipofika  katika ukumbi wa Hoteli ya Bravo Club Wilaya ya Kaskazini A Unguja kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  katika kuimarisha Chama(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Ali Makame Khamis,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) wakati wa mkutano wa maalum wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM kwa  Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  katika ukumbi wa Hotel ya Bravo Club Kiwengwa wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja katika  ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM.


Baadhi ya Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Kaskazini A Unguja wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi hao katika Ukumbi wa  Hotel ya Bravo Club Kiwengwa wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja katika  ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM
Baadhi ya Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Kaskazini A Unguja wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi hao katika Ukumbi wa  Hotel ya Bravo Club Kiwengwa wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja katika  ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM, {Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.