Habari za Punde

Mkutano wa kuelimisha dhana ya Bima inayofuata misingi ya Sheria ya kiislamu wafanyika Pemba

 
 
MJUMBE wa kamati ya sharia kutoka bima sheikh Abdalla Talib akitoa ufafanuzi juu ya dhana ya bima inayofuata misingi na sharia za kiislamu, kwenye mkutano wa siku moja uliandaliwa na shirika la bima Zanzibar na kufanyika Chakechake Pemba (picha na Haji Nasor, Pemba)

MKURUGENZI mtendaji wa shirika la bima Zanzibar Abdull-nassir Ahmed akifungua mkutano wa siku moja wa kuwaelimisha wadau wa bima, juu ya dhana ya bima inayofuata misingi, sharia na kanuni za kiislamu, mkutano uliofanyika Chakechake Pemba, kulia ni mkurugenzi masoko wa Bima Said Mohamed na kushoto ni mjumbe wa kamati ya sharia kutoka bima sheikh Abdalla Talib (picha na Haji Nassor, Pemba
BAADHI ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa kuelimisha juu ya dhana ya bima, inayofuata misingi, sharia na kanuni za kiislamu, wakifuatilia mada  iliotolewa na kaptein Jamil kutoka Pakistan hayupo pichani, kwenye mkutano huo uliofanyika hoteli ya Misali sun set beach Chake chake (picha na Haji Nassor, Pemba)



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.