MJUMBE wa kamati ya maendeleo ya shehia ya Chumbageni wilaya ya mkoani Pemba Amini Haji Makame, akiulizia suali kwa mkuu wa wilaya hiyo Hemed Suleiman Adballa, kuhusu sheria za kumbana mwekezaji aliemo shehiani mwao, ili kutoa mchango wake kwa jamii, kwenye mkutano wa mkuu huyo wa wilaya wakati akijitambulisha kwa wananchi (picha na Haji Nassor, Pemba)
Mchaka Mchaka wa Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa Tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa
Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan
-
Muendelezo wa Mchaka Mchaka wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Mgombea wa
Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM na
Mwenyekiti ...
15 hours ago
No comments:
Post a Comment