Habari za Punde

Maalim Seif Ziarani Nchi Uturuki

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki.
Baadhi ya viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki, wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (hayupo pichani) walipokutana naye kwa mazungumzo mjini Istanbul nchini Uturuki. (Picha na Salmin Said, Istanbul).

2 comments:

  1. Kwishnei Zanzibar!. Yaani viongozi wetu kuanzia makamu wote na raisi mukienda nje ya nchi ni kukutana na vijikundi uchwara Tu. Tizameni Kikwete na timu zake wakienda nje, wamekosakosa basi mkopo wa kujenga au kuimarisha gati zao hawakosi. Sie ni ubishoo tu.

    ReplyDelete
  2. Lahaulaaaaaaaa maalimu wambie wabata watupatie ajira za cheap labour vijana zanzibar hatuna ajira
    Wanavyo viwanda vingi vya nguo kule kucuk pazar istambul
    Acha ubishoo maalim seif luften wambie hao

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.