Habari za Punde

Michuano ya Wazi kuibua Vipaji kwa Vijana katika Mchezo wa Kikapu Zanzibar. kati ya Good Morning na Cavarious.


Mchezaji wa timu ya Good Morning akidanki wakati wa mchezo wao na timu ya Cavarious kuwania Kombe la Wazi kwa Vijana wa U-17,yanayofanyika katika viwanja vya maisara Zenj.timu ya Cavarious imeshinda vikapu 68 -42




Mchezaji wa timu ya mpira wa Kikapu ya Good Morning mwenye mpira akimpita mchezaji wa Cavarious katika michuano ya mchezo wa kikapu yanayofanyika katika viwanja vya maisara, timu ya Cavarious imeshinda kwa Vikapu 68-42

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.