Habari za Punde

Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Yaendeldea na ziara yake Sweden.

Katika hali ya kupunguza utegemezi wa mafuta, Sweden tayari imeshaanza kutumia umeme kwa magari kama inavyoonekana



Wajumbe wa wadi za Makunduchi wakimsikiliza mhadhili wa mafunzo ya ujasiriamali katika uwanja wa biashara. Wanafunzi wa kidato cha tano na sita hufundishwa biashara kwa vitendo. Wanafunzi hutakiwa kuibua biashara ya kufanya baada ya kupata dozi hiyo ya biashara
Ujumbe wa wadi za Makunduchi ulitembelea madarasa ya sayansi kujionea namna gani sayansi inafundishwa.
Mwalimu Kinore akimkabidhi zawadi ya ngalawa ndugu Sweden ambaye ni mwalimu mkuu wa Skuli ya Sundsvall Gynmasium. Zawadi hii imetolewa kuonyesha miongoni mwa kazi za watu wa Makunduchi ni uvuvi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.