Habari za Punde

Hashim Salum Ajitokeza ZFA Wilaya ya Mjini Kuchukua Fomu Kugombea.

Mchezaji wa zamani wa timu ya Miembeni na Taifa ya Zanzibar Hashim Salum, ajitokeza kuchukua Fomu kugombea Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Taifa Wilaya ya Mjini Unguja, akiwa na Fomu yake baada ya kuchukua leo katika Ofisi za ZFA Wilaya ya Mjini zilioko Amani, Uchukuaji wa Fomu za Uchanguzi umeaza leo kwa Ngazi za Wilaya na kujitokeza sura nyingi za Vijana kuwania nafasi mbalimbali katika ZFA Wilaya ya Mjini.
Leo jumla ya Wanamichezo 17 wamejitokeza kuchukua fomu kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi wa ZFA Wilaya ya Mjini. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.