MAKAMO wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi maktaba kuu
ya chake chake Pemba, ikiwa ni shamra shamra za miaka 51 ya Mapinduzi matukufu
ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MKUU wa makoa wa kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid
Abdalla akizungumza na wanafunzi,walimu na wananchi wa Chake Chake, mara baada
ya kuwekewa jiwe la msingi maktaba kuu ya Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar Mhe:Zahra Ali Hamad, akizungumza na wanafunzi walimu na wananchi wa
Chake Chake, mara baada ya kuwekewa jiwe la msingi maktaba kuu ya Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif
Ali Iddi, akizungumza na wananchi wa Chake Chake mara baada ya kuiwekea jiwe la
msingi maktaba kuu ya Pemba .(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment