Habari za Punde

India Yasherehekea Siku ya Uhuru Kutimia Miaka 66.

Mgeni Rasmin katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66, Mhe Haroun Ali Suleiman akiwasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Setandar Kumar, akimkaribisha Waziri Haroun kuhutubia katika maadhimisho hayo ya Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66, iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach  Resorts Mazizini Unguja.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Setandar Kumar, akihutubia na kuelezea Uhuru wa India wakati wa kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India zilizofanyika katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort mazizini Unguja.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Setandar Kumar akielezea uhusiano wa India na Zanzibar unavyozidi kuimarika katika nyanja ya Elimu ya inayotowa fursa kwa Vijana wa Zanzibar kupata elimu ya Juu katika vyuo mbalimbali India.
Mgeni Rasmin katika hafla ya kusherehekea Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 Mhe Haroun Ali Suleiman akihutubia katika fala hiyo ya kuadhimisha miaka 66 ya Uhuru wa India katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja,


Waziri Haroun akihutubia Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66, katika viwanja ya hoteli ya Zanzibar Beach Resort mazizini Unguja.

Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Kumar na Waziri Haroun wakitosi kuashiria mshikamano wa Nchi mbili kati ya Zanzibar na India kudumisha uhusiano wao milele na milele, hafla hiyo ya kuadhimisha Uhuru India zimefanyika katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach.
Wageni Waalikwa wakiwemo Mabalizi Wadogo wanaowakilisha Nchi zao Zanzibar wakifuatilia hafla hiyi iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach.
Wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo wakati wa kusoma hutuba ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa India kutimia miaka 66 ya Uhuru.
Maofisa wa Ubalozi wa India Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa sherehe wakifuatilia hutuba ya Waziri Mhe Haroun Ali Suleiman.akiwa mgeni rasmin wa sherehe hizo.










No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.