Habari za Punde

Maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ben Bella




Skuli ya Sekondari ya Ben Bella itaadhimisha miaka 90 tangu kuazishwa kwa Skuli hiyo katika mwaka 1924, kupokea Wanafunzi kujiunga na Skuli hiyo kupata Elimu sasa imetimia miaka 90 itaadhimishwa kwa Matembezi ya Mshikamano siku ya Ijumaa na Mgeni Rasmin atakuwa Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Matembezi hayo yataazia katika Sikuli hiyo iliko Mnazi mmoja na kushirikisha Wanafunzi wate waliosoka katika Skuli hiyo, matembezi hayo yatazunguka mnazi mmoja michezani, mlandege darajani na kumalizikia suklini hapo.

Ktakuwa na Usiku wa Wanafunzi wa Ben Bella kwa maonesho ya Mavazi na masomo ya Sayansi na   Maadhimisho ya sherehe hizo yatafungwa maandalizi ya Chakula cha Usiku kuchangia Skuli hiyo kumuinua Mtoto wa Kike katika kupata masomo 

Wananchi wate mnakaribishwa katika matembezi hayo kuadhimisha miaka 90 na kumjali Mtoto wa Kike kupata Elimu ikizingatiwa Skuli hiyo imeazisha Masomo ya kuwaendeleza Wanafunzi wa Kike  Ikiwa na Ujumbe wa kuadhimisha miaka 90 ya Skuli hiyo.

UKIMUELIMISHA MTOTO WA KIKE UMEELIMISHA JAMII NZIMA 
   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.